Wananchi wa Mwanga mnakaribishwa kwenye mkutano wa Baraza la Halmashauri litakalo kaa tarehe 15 na 16 Februari, 2021.
Baraza litakaa katika ukumbi wa Mwanga Sekondari kuanzia saa 3:30 asubuhi.
Mnakaribishwa nyote
Greenbird college round about to Bomani road
Sanduku la Posta: 176 Mwanga,Kilimanjaro
Simu ya Mezani: +255 272974343
Namba ya Simu: +255 272974343
Barua Pepe: ded@mwangadc.go.tz
hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga . Haki zote zimehifadhiwa