Kutoa mafunzo ya ujasiriamali kwa watu binafsi na vikundi vinavyojihusisha na shughuli za ujasiriamali
Kutoa huduma ya usajili wa vikundi vya ujasiriamali vya vijana na wanawake
Kuhamasisha jamii kushiriki kwenye shughuli za maendeleo
Kupitia, kushauri na kutoa elimu juu ya miradi inayoendeshwa na fedha za mikopo zilizotolewa kwa vijana na wanawake
Kuhamasisha / Kuhimiza Jamii kuwa na ari yakujituma kutumia fursa mbalimbali zilizopo katika maeneo yao ili kujiletea maendeleo yao na Taifa kwa ujumla.