Saturday 21st, December 2024
@Mwanga
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhe. Hamad Hassan Chande (MB), atazuru Wilayani Mwanga leo tarehe 20 Sept, 2021.
Katika ziara yake, Mhe. Hamad atatembelea kiwanda cha kuzalisha spiriti cha Biochem na kutembelea Ziwa Jipe.
Karibu Wilayani Mwanga Mheshimiwa Naibu Waziri
Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
Sanduku la Posta: 176 Mwanga,Kilimanjaro
Simu ya Mezani: +255 272974343
Namba ya Simu: +255 272974343
Barua Pepe: ded@mwangadc.go.tz
hatimiliki ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga . Haki zote zimehifadhiwa