Wilaya ya Mwanga upande wa Magharibi imezungukwa na Bwawa la Nyumba ya Mungu bwawa ambalo linatoa fursa kubwa ya ajira kwa wakazi wanaozunguka Bwawa hilo. Kwa mwaka inakadiriwa kuwa kuna jumla ya tani 1300 za samaki zinazovuliwa kutoka kwenye ziwa hili.
Pia Wilaya imebahatika kuwa na ziwa moja ambalo ni ziwa Jipe lililoko Kaskazini Mashariki mwa Wilaya. Ziwa hili nalo linatoa fursa ya uvuvi kwa wakazi wanao ishi kandokando mwa ziwa hili. Kwa sasa Ziwa Jipe limepungua kwasababu ya magugu maji yaliyopo kwenye ziwa na kupelekea kupungua kwa kina na upana wa ziwa.
Kutokana na uwepo wa sehemu hizi mbili zinazotoa fursa ya uvuvi, Halmashauri inawakaribisha wazawa na wageni kuja kuwekeza kwenye shughuli za uvuvi ikiwa ni pamoja na;
Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
Sanduku la Posta: 176 Mwanga,Kilimanjaro
Simu ya Mezani: +255 272974343
Namba ya Simu: +255 272974343
Barua Pepe: ded@mwangadc.go.tz
hatimiliki ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga . Haki zote zimehifadhiwa