• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mwanga District Council
Mwanga District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na rasilimali watu
      • Afya
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii na Uhusiano
      • Ujenzi na zima moto
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ardhi na Mali asili
      • Mazingira
      • Mamlaka ya Mji mdogo
    • Vitengo
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji wa Nyuki
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Kilimo
    • Fursa za Uvuvi
    • Fursa ya Madini
    • Fursa ya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za kisheria
    • Huduma za kuwawezesha wajasiria mali
  • Madiwani
    • Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mipango mikakati
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Bajeti ya Halmashauri
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba kwa Vyombo vya Habari
    • Habari

Ufugaji wa Samaki

UVUVI. 

Wilaya inatekeleza shughuli  za Uvuvi ikiwemo  kusimamia  Uvuvi  endelevu katika  Bwawa  la Nyumba ya Mungu na Ziwa Jipe , na  kuelimisha  wananchi  juu ya ufugaji bora wa samaki.

Wilaya  ya  Mwanga  ina jumla ya bwawa (fish ponds)  135  ambayo  yanamilikiwa na watu binafsi, aina ya Samaki  wanaofugwa ni  Kambale  na  Perege, pia sehemu ambazo ufugaji unafanyika ni Kata za Mwanga, Kileo, Kirya, Kigonigoni, Kighare na Shighatini. Pia tunasimamia vyema kukabiriana na uvuvi haramu kwa kuzingatia sheria ya uvuvi Na. 22 ya 2003 na kanuni zake za 2009.

  • 2.1 MAFANIKIO.
  • Tumefanikiwa kukatia leseni jumla ya wavuvi  116 na kusajili vyombo vya uvuvi (mitumbwi) 224 kutoka Bwawa la Nyumba ya Mungu.
  • Kutoa elimu kwa vikundi 16 vya wavuvi ( vikundi 12 N/ Mungu na 4 Jipe) juu ya kufanya uvuvi halali kwa upande wa ziwa Jipe na upande wa Bwawa la Nyumba ya Mungu Kuanzia mwezi Juni 2017  hadi  Octoba 2017.
  • Kuunda BMUs 12 kwa upande wa N/Mungu na BMUs 4 upande wa Ziwa Jipe na  kufanya doria ndani na nje ya maji hadi kukamata zana haramu za uvuvi kama  jedwari lifuatalo linavyoonyesha ; mwezi ,  zana  na hatua zilizochukuliwa.
S/N
MWEZI
   ZANA  HARAMU
 HATUA  ZILIZOCHUKULIWA
1
Juni.
Chandarua   1
Kiliteketezwa  na moto
Nyavu  za kutega vipande    17
Viliteketezwa na moto
Mitumbwi  8
Kukabidhi  katika kijiji cha Nyabinda
Ndoo  za dagaa  2
Ziliteketezwa  kwa moto.
2
Julai

  Kuunda  Beach  Management Units (BMUs)
3
Agosti
Chandarua  1
Kiliteketezwa  na moto
4
Septemba
Kokoro   1
 Ziliteketezwa  kwa moto.
Chandarua  1
5
Octoba
Vimia 2
Ziliteketezwa  kwa moto.
Kokoro  2
Njenga  1

 

2.2 MIKAKATI  YA KUDHIBITI  UVUVI  HARAMU.

Idara  kupitia kitengo cha Uvuvi imepanga mikakati ifuatayo,

  • Kuwashirikisha  viongozi wa ngazi ya Kata, vijiji na vitongoji katika kuwabaini  wavuvi haramu na zana zao katika maeneo husika.
  • Kutoa  muda wa siku 14 wa kusalimisha zana  haramu  kwa wavuvi haramu katika ofisi za kata zao. Kwa upande wa Ziwa Jipe mwisho ilikuwa Ijumaa  ya tarehe 17/11/2017, upande wa Bwawa la Nyumba ya Mungu  kwa kata ya Lang’ata Bora wavuvi haramu wanasalimisha zana zao tangu tarehe  8 -  22/11/2017 katika ofisi ya Kata  na kwa upande wa Kata ya Kirya  wanasalimisha  zana hizo kuanzia 10/11/2017  hadi  tarehe 23/11/2017 katika ofisi ya Kata.


Matangazo

  • Tangazo la kazi April 17, 2025
  • Nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Ajira February 21, 2025
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA February 16, 2025
  • Nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Ajira January 30, 2025
  • Tazama Yote

Habari Mpya

  • WANANCHI KARIBUNI TUMPOKEE MAKAMU WA RAIS – DC MWAIPAYA

    March 15, 2024
  • SERIKALI YAIPATIA SHULE YA MSINGI MWERO MILIONI 178.3

    October 12, 2023
  • MHE. TADAYO ATOA PONGEZI KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI YA MAENDELEO, ASEMA WILAYA INA VIONGOZI SAHIHI

    September 20, 2023
  • KIKUNDI CHA UTAMADUNI KUTOKA MWANGA KIMEULETEA MKOA WA KILIMANJARO USHINDI KWA AWAMU YA PILI MFULULIZO

    August 27, 2023
  • Tazama Yote

Video

Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MATANGAZO
  • MIONGOZO
  • MFUMO WA USAJILI WA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI (PREM)
  • Baraza la Mitihani Tanzania(NECTA)
  • Huduma za Afya
  • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Maktaba ya Picha
  • Kuomba kibali cha kusafiri nje ya nchi

Viunganishi Linganifu

  • PlanRep
  • Tovuti ya Ikulu
  • UTUMISHI
  • FFARs
  • Tovuti ya Wakala wa Serikali ya Mtandao
  • OR-TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga

    Sanduku la Posta: 176 Mwanga,Kilimanjaro

    Simu ya Mezani: +255 272974343

    Namba ya Simu: +255 272974343

    Barua Pepe: ded@mwangadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

hatimiliki ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga . Haki zote zimehifadhiwa