• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mwanga District Council
Mwanga District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na rasilimali watu
      • Afya
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii na Uhusiano
      • Ujenzi na zima moto
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ardhi na Mali asili
      • Mazingira
      • Mamlaka ya Mji mdogo
    • Vitengo
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji wa Nyuki
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Kilimo
    • Fursa za Uvuvi
    • Fursa ya Madini
    • Fursa ya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za kisheria
    • Huduma za kuwawezesha wajasiria mali
  • Madiwani
    • Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mipango mikakati
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Bajeti ya Halmashauri
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba kwa Vyombo vya Habari
    • Habari

Huduma za Elimu

HUDUMA ZA ELIMU KATIKA IDARA YA ELIMU MSINGI

  • Kusimamia utekelezaji wa usimamizi wa mtaala wa Elimu Msingi
  • Kusimamia utendaji wa kazi za walimu katika ujifunzaji na ufundishaji
  • Kusimamia utunzaji na uboreshaji wa miundombinu ya shule kama madarasa, nyumba za walimu, vyoo na ofisi za walimu
  • Kusimamia rasili mali fedha na utekelezaji wa bajeti za shule
  • Kuhakikisha kunakuwepo na ustawi wa walimu na wanafunzi katika maeneo ya kazi
  • Kudumisha ushirikiano baina ya shule na wadau mbalimbali katika kuleta maendeleo ya shule
  • Kuhakikisha shule zinakuwa na samani kwa walimu na wanafunzi kama madawati, meza, vitin kabati nk.
  • Kuhakikisha mazingira ya shule yanatunzwa na yanavutia
  • Kuhakikisha kila mwanafunzi mwenye umri wa kwenda shule anaandikishwa na anapata masomo.
  • Kuhakikisha walimu wanasimamia na kutekeleza mitaala isiyo rasmi kama michezo na utamaduni ili kuendeleza vipaji vya wanafunzi
  • Kuhakikisha panakuwepo na kamati za shule zilizo hai na zinazofanya kazi na kuhakikisha kamati hizi zinaendeshwa kwa mujibu wa kanuni, taratibu na sheria
  • Kumshauri Mkurugenzi kuhusu mambo yote ya Elimu Msingi


MAJUKUMU YA ELIMU KATIKA IDARA YA ELIMU SEKONDARI

  • Kuiwakilisha Wizara katika Halmashauri kuhusu masuala ya Elimu ya Sekondari
  • Kusimamia utekelezaji wa Sera, Sheria na Kanuni zinazoongoza utoaji wa Elimu ya Sekondari
  • Kusimamia upanuzi wa Elimu ya Sekondari katika Halmashauri
  • Kusimamia haki na maslahi ya walimu na watumishi wengine wa  ngazi ya Elimu ya Sekondari katika Halmashauri
  • Kusimamia na kudhibiti akaunti ya Elimu ya Sekondari na kuhakikisha kuwa fedha za Elimu ya Sekondari zinatumika kama ilivyokusudiwa
  • Kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya Elimu ya Sekondari
  • Kufuatilia na kutathimini maendeleo ya Elimu ya Sekondari katika Halmashauri
  • Kuhakikisha kuwa shule zote za Sekondari katika Halmashauri zinainua ubora wa mazingira ya kujifunzia na kufundishia ikiwa ni pamoja na utunzaji wa madarasa, nyumba za walimu, maabara, maktaba na vyoo
  • Kusimamia tathmini ya wazi ya utendaji kazi (Open Performance Review and Appraisal System – OPRAS) kwa walimu na watumishi wa Sekondari
  • Kuhimiza udhibiti wa nidhamu ya walimu, watumishi na wanafunzi wa shule za Sekondari katika Halmashauri na
  • Kumshauri Mkurugenzi wa Halmashauri kuhusu masuala yote ya Elimu ya Sekondari

Matangazo

  • Tangazo la kazi April 17, 2025
  • Nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Ajira February 21, 2025
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA February 16, 2025
  • Nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Ajira January 30, 2025
  • Tazama Yote

Habari Mpya

  • WANANCHI KARIBUNI TUMPOKEE MAKAMU WA RAIS – DC MWAIPAYA

    March 15, 2024
  • SERIKALI YAIPATIA SHULE YA MSINGI MWERO MILIONI 178.3

    October 12, 2023
  • MHE. TADAYO ATOA PONGEZI KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI YA MAENDELEO, ASEMA WILAYA INA VIONGOZI SAHIHI

    September 20, 2023
  • KIKUNDI CHA UTAMADUNI KUTOKA MWANGA KIMEULETEA MKOA WA KILIMANJARO USHINDI KWA AWAMU YA PILI MFULULIZO

    August 27, 2023
  • Tazama Yote

Video

Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MATANGAZO
  • MIONGOZO
  • MFUMO WA USAJILI WA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI (PREM)
  • Baraza la Mitihani Tanzania(NECTA)
  • Huduma za Afya
  • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Maktaba ya Picha
  • Kuomba kibali cha kusafiri nje ya nchi

Viunganishi Linganifu

  • PlanRep
  • Tovuti ya Ikulu
  • UTUMISHI
  • FFARs
  • Tovuti ya Wakala wa Serikali ya Mtandao
  • OR-TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga

    Sanduku la Posta: 176 Mwanga,Kilimanjaro

    Simu ya Mezani: +255 272974343

    Namba ya Simu: +255 272974343

    Barua Pepe: ded@mwangadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

hatimiliki ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga . Haki zote zimehifadhiwa