Sunday 23rd, February 2025
@Wilaya ya Mwanga
Wananchi wa Wilaya ya Mwanga tunapenda kuwajulisha na kuwakaribisha kwenye mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2021.
Mwenge wa Uhuru utapokelewa Wilayani kwetu tarehe 06 Juni, 2021 katika Kata ya Mgagao.
Mkesha wa Mwenge utafanyika katika viwanja vya soko la Mwanga tarehe hiyohiyo na mkesha utaanza saa 12:00 jioni hadi saa 12:00 asubuhi ya tarehe 07 juni 2021.
Mwenge wa Uhuru 2021 umebebwa na kauli mbiu isemayo "TEHAMA NI MSINGI WA TAIFA ENDELEVU; ITUMIKE KWA USAHIHI NA UWAJIBIKAJI".
Mnakaribishwa swana.
Zefrin K. Lubuva
Mkurugenzi Mtendaji (W)
MWANGA
Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
Sanduku la Posta: 176 Mwanga,Kilimanjaro
Simu ya Mezani: +255 272974343
Namba ya Simu: +255 272974343
Barua Pepe: ded@mwangadc.go.tz
hatimiliki ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga . Haki zote zimehifadhiwa