• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mwanga District Council
Mwanga District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na rasilimali watu
      • Afya
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii na Uhusiano
      • Ujenzi na zima moto
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ardhi na Mali asili
      • Mazingira
      • Mamlaka ya Mji mdogo
    • Vitengo
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji wa Nyuki
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Kilimo
    • Fursa za Uvuvi
    • Fursa ya Madini
    • Fursa ya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za kisheria
    • Huduma za kuwawezesha wajasiria mali
  • Madiwani
    • Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mipango mikakati
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Bajeti ya Halmashauri
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba kwa Vyombo vya Habari
    • Habari

Nawezaje kupata mikopo ya vijana na wanawake

VIAMBATANISHO MUHIMU WAKATI WA KUOMBA MKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

  • Barua ya maombi ya Mkopo ikitaja kiasi cha fedha kinachoombwa na kikundi.
  • Nakala ya katiba iliyohakikiwa na Idara ya Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Mwanga.
  • Nakala ya Cheti cha usajili wa kikundi kilichotolewa na Idara ya Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Mwanga.
  • Historia fupi ya kikundi na Andiko la Mradi linaloonyesha mchanganuo wa mradi unaoombewa mkopo.
  • Nakala ya Leseni ya biashara kwa miradi yenye uhitaji wa Leseni mfano duka, Uuzaji mifugo na Mama Lishe au Barua ya utambulisho kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji kwa miradi isiyohitaji Leseni kuonyesha uwepo na utambuzi wa Mradi katika eneo lake mfano kilimo,Ufugaji,Ufinyanzi na inayofanana na hiyo
  • Nakala ya taarifa za akaunti ya kikundi (Bank Statement).
  • Fomu ya Maombi ya Mkopo inayotolewa na Ofisi ya Maendeleo ya Jamii.

N:B. Kwa vikundi vya Vijana umri wao ni kuanzia miaka 18-35 pia waambatanishe nakala ya kitambulisho cha mpiga kura au cha Taifa (NIDA).

Viambatanisho vyote hivi vitawasilishwa Kamati ya Maendeleo ya Kata (WDC) kwa ajili ya kujadiliwa na vikundi vilivyokidhi vigezo kupitishwa na kuandikiwa muhtasari na hatimaye nyaraka za vikundi kuwasilishwa Ofisi ya Maendeleo Jamii Wilaya.

IDADI

  • Kikundi cha wanawake au vijana inatakiwa kiwe na idadi ya wanakikundi wasiopungua watano
  • Kikundi cha watu wenye ulemavu, kinatakiwa kiwe idadi ya wanakikundi wasiopungua wawili.”

NB

  • Mtu mwenye ulemavu atakuwa na sifa ya kupata mkopo kama kikundi cha watu wenye ulemavu endapo:
  • Kamati ya Kudumu ya Fedha, Mipango na Uongozi itajiridhisha kuwa mtu huyo amekosa mtu mwingine mwenye ulemavu na sifa ya kuwa mwanakikundi wa kikundi cha watu wenye ulemavu;
  • Anajishughulisha na ujasiriamali au anakusudia kuanzisha shughuli za ujasiriamali mdogo au wa kati;
  • Ana akaunti ya benki iliyofunguliwa kwa jina lake kwa ajili ya matumizi ya shughuli za kiujasiriamali;
  • Ni raia wa Tanzania mwenye akili timamu na umri wa miaka kumi na nane na kuendelea;
  • Hana ajira rasmi.
  • Mtu mwenye ulemavu anayekusudia kuomba mkopo chini ya masharti ya kanuni hii atatakiwa kujaza fomu ya maombi ya mkopo itakayoambatishwa na nyaraka zifuatazo:
  • Nakala ya cheti cha kuzaliwa au hati ya kiapo inayothibitisha kuzaliwa kwake.
  • Nakala ya leseni ya biashara au kitambulisho cha ujasiriamali kilichotolewa na Serikali.
  • Nakala halisi ya taarifa ya akaunti kutoka katika benki ambayo ana akaunti.
  • Nakala halisi ya barua ya utambulisho kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji au Mtaa kwa kadri itakavyokuwa na Mtendaji wa Kata.
  • Wazo la biashara.

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na Maofisa wa Idara ya Maendeleo ya Jamii kwa kupiga namba zifuatazo:-

0624-397249

0756-803364

0672-268953

Matangazo

  • Tangazo la kazi April 17, 2025
  • Nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Ajira February 21, 2025
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA February 16, 2025
  • Nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Ajira January 30, 2025
  • Tazama Yote

Habari Mpya

  • WANANCHI KARIBUNI TUMPOKEE MAKAMU WA RAIS – DC MWAIPAYA

    March 15, 2024
  • SERIKALI YAIPATIA SHULE YA MSINGI MWERO MILIONI 178.3

    October 12, 2023
  • MHE. TADAYO ATOA PONGEZI KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI YA MAENDELEO, ASEMA WILAYA INA VIONGOZI SAHIHI

    September 20, 2023
  • KIKUNDI CHA UTAMADUNI KUTOKA MWANGA KIMEULETEA MKOA WA KILIMANJARO USHINDI KWA AWAMU YA PILI MFULULIZO

    August 27, 2023
  • Tazama Yote

Video

Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MATANGAZO
  • MIONGOZO
  • MFUMO WA USAJILI WA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI (PREM)
  • Baraza la Mitihani Tanzania(NECTA)
  • Huduma za Afya
  • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Maktaba ya Picha
  • Kuomba kibali cha kusafiri nje ya nchi

Viunganishi Linganifu

  • PlanRep
  • Tovuti ya Ikulu
  • UTUMISHI
  • FFARs
  • Tovuti ya Wakala wa Serikali ya Mtandao
  • OR-TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga

    Sanduku la Posta: 176 Mwanga,Kilimanjaro

    Simu ya Mezani: +255 272974343

    Namba ya Simu: +255 272974343

    Barua Pepe: ded@mwangadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

hatimiliki ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga . Haki zote zimehifadhiwa