• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mwanga District Council
Mwanga District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na rasilimali watu
      • Afya
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii na Uhusiano
      • Ujenzi na zima moto
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ardhi na Mali asili
      • Mazingira
      • Mamlaka ya Mji mdogo
    • Vitengo
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji wa Nyuki
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Kilimo
    • Fursa za Uvuvi
    • Fursa ya Madini
    • Fursa ya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za kisheria
    • Huduma za kuwawezesha wajasiria mali
  • Madiwani
    • Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mipango mikakati
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Bajeti ya Halmashauri
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba kwa Vyombo vya Habari
    • Habari

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

Posted on: September 30th, 2017

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

HALMASHAURI YA WILAYA YA MWANGA

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAREHE 3/10/2017


Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga imepokea  Kibali cha ajira mpya chenye Kumb. Na. FA 170/370/01/44 cha tarehe 27/7/2017   na Kibali cha ajira mbadala chenye Kumb. Na. CFC 26/205/01’’FF’’/91 cha tarehe 22/8/2017 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Hivyo inatangaza Tangazo la usaili kwa watu wote waliiomba Nafasi za kazi za Watendaji wa Vijiji Daraja la III (Nafasi 30) na Watunza tunza Kumbukumbu wasaidizi Daraja la III (Nafasi 2)

MASHARTI YA USAILI

  • Msailiwa awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga.
  • Msailiwa awe na umri usiozidi miaka 45 na awe hajawahi kupatikana na kosa la jinai au kufungwa jela.
  • Msailiwa aje na vyeti vya halisi vya taaluma, vyeti vya elimu kidato cha (IV au VI), cheti cha kuzaliwa (orginal certificate).
  • Msailiwa asije na “Testimonials, Provisional Results, Statement of results” hati ya matokeo ya kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS).
  • Msailiwa aliyesoma  nje ya Tanzania hakikishe vyeti vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika TCU na NECTA na taarifa ya Uhakiki iambatanishwe kwenye maombi.
  • Msailiwa aliyestaafishwa katika Utumishi wa UMMA hataruhusiwa isipokuwa kama anakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
  • Msailiwa atakayewasilisha taarifa na sifa za kugushi atachukuliwa hatua za kisheria.

Usaili utafanyika tarehe 3/10/2017 Mahali:Ukumbi wa Halmashauri

MUDA:SAA MOJA KAMILI SUBUHI (7:00),tafadhari hakikisha unaangalia jina lako kwa makini,Kuangalia majina ya usaili  ya walioitwa kwenye usaili tafadhali bofya-->USAILI.xlsx

Imetolewa na MKURUGENZI MTENDAJI (W),

HALMASHAURI YA WILAYA YA MWANGA,

S.L.P. 176,

MWANGA.

Matangazo

  • Tangazo la kazi April 17, 2025
  • Nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Ajira February 21, 2025
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA February 16, 2025
  • Nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Ajira January 30, 2025
  • Tazama Yote

Habari Mpya

  • WANANCHI KARIBUNI TUMPOKEE MAKAMU WA RAIS – DC MWAIPAYA

    March 15, 2024
  • SERIKALI YAIPATIA SHULE YA MSINGI MWERO MILIONI 178.3

    October 12, 2023
  • MHE. TADAYO ATOA PONGEZI KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI YA MAENDELEO, ASEMA WILAYA INA VIONGOZI SAHIHI

    September 20, 2023
  • KIKUNDI CHA UTAMADUNI KUTOKA MWANGA KIMEULETEA MKOA WA KILIMANJARO USHINDI KWA AWAMU YA PILI MFULULIZO

    August 27, 2023
  • Tazama Yote

Video

Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MATANGAZO
  • MIONGOZO
  • MFUMO WA USAJILI WA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI (PREM)
  • Baraza la Mitihani Tanzania(NECTA)
  • Huduma za Afya
  • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Maktaba ya Picha
  • Kuomba kibali cha kusafiri nje ya nchi

Viunganishi Linganifu

  • PlanRep
  • Tovuti ya Ikulu
  • UTUMISHI
  • FFARs
  • Tovuti ya Wakala wa Serikali ya Mtandao
  • OR-TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga

    Sanduku la Posta: 176 Mwanga,Kilimanjaro

    Simu ya Mezani: +255 272974343

    Namba ya Simu: +255 272974343

    Barua Pepe: ded@mwangadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

hatimiliki ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga . Haki zote zimehifadhiwa