Mkuu wa Wilaya (katikati) Mhe. Thomas Apson akizindua kampeni ya utoaji wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto walio na umri chini ya miaka mitano,. Vyeti vitatolewa bure na kampeni hiyo itaanza leo tarehe 06/08/2020 mpaka tarehe 18/08/2020. Kushoto mwa Mkuu wa Wilaya ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga Ndg. Zefrin K.Lubuva. Kampeni hii imefadhiliwa na nchi ya Canada, Kampuni ya simu za mkononi Tigo na shirika la Watoto Duniani Unicef.
Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
Sanduku la Posta: 176 Mwanga,Kilimanjaro
Simu ya Mezani: +255 272974343
Namba ya Simu: +255 272974343
Barua Pepe: ded@mwangadc.go.tz
hatimiliki ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga . Haki zote zimehifadhiwa