ZIARA YA WAZIRI WA MAJI JUMAA AWESO TAREHE 19/01/2021 KUTEMBELEA MRADI WA MAJI WA SAME MWANGA KOROGWE
Posted on: January 18th, 2021
Waziri wa maji, kesho tarehe 19/01/2021 atafanya ziara wilayani hapa ambapo atatembelea mradi wa same mwanga korogwe, wananchi wote mnakaribishwa katika eneo la mamlaka ya maji Mwanga kumsikiliza.