• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mwanga District Council
Mwanga District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na rasilimali watu
      • Afya
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii na Uhusiano
      • Ujenzi na zima moto
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ardhi na Mali asili
      • Mazingira
      • Mamlaka ya Mji mdogo
    • Vitengo
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji wa Nyuki
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Kilimo
    • Fursa za Uvuvi
    • Fursa ya Madini
    • Fursa ya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za kisheria
    • Huduma za kuwawezesha wajasiria mali
  • Madiwani
    • Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mipango mikakati
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Bajeti ya Halmashauri
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba kwa Vyombo vya Habari
    • Habari

Idara ya Ardhi na Maliasili

MAJUKUMU YA IDARA YA ARDHI NA MALIASILI

  1. Kupima viwanja na mashamba
  2. Kuandaa michoro ya mipango miji na ramani za upimaji
  3. Kufanya uthamini wa viwanja, mashamba na majengo
  4. Kutoa masharti na kusimamia uendeshaji wa ardhi
  5. Kupokea na kutatua migogoro ya ardhi
  6. Kukusanya kodi na tozo zingine za viwanja na mashamba
  7. Kutunza kumbukumbu za umiliki wa ardhi
  8. Kuandaa hati miliki za viwanja na mashamba
  9. Kutoa ushauri kwa wamiliki na waendelezaji wa ardhi
  10. Kupitisha michoro/ramani za waombaji wa vibali vya ujenzi
  11. Kuzuia ujenzi holela kwa kufanya ukaguzi wa mara kwa mara
  12. Kusimamia uhifadhi wa misitu na wanyama pori
  13. Kusimamia uvunaji endelevu wa misitu na wanyama pori
  14. Kufanya doria ya kudhibiti ujangili na uharibifu wa misitu
  15. Kusimamia utunzaji wa mazingira na uhifadhi wa vyanzo vya maji
  16. Kuhamasisha ufugaji wa nyuki na uvunaji wa mazao yatokanayo na nyuki
  17. Kuunganisha wadau wa maliasili
  18. Kuhamasisha upandaji miti kwa wananchi
  19. Kutoa elimu juu ya moto na madhara yake haswa kwenye vijiji vilivyopo karibu na  misitu
  20. Kumshauri Mkurugenzi Mtendaji kwenye masuala yote yanayohusu Idara ya Ardhi na Maliasili

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGA KURA KWAAJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 July 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI July 03, 2025
  • Tangazo la nafasi 30 za kazi ya mkataba June 20, 2025
  • TANGAZO LA KAZI June 03, 2025
  • Tazama Yote

Habari Mpya

  • DC MUNKUNDA AONGOZA KONGAMANO LA MWAKA LA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI (NGOs)

    June 18, 2025
  • WATUMISHI WA MWANGA DC WAPATIWA MAFUNZO YA E-UTENDAJI.

    June 19, 2025
  • MWANGA YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA

    June 16, 2025
  • MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    June 13, 2025
  • Tazama Yote

Video

Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MATANGAZO
  • MIONGOZO
  • MFUMO WA USAJILI WA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI (PREM)
  • Baraza la Mitihani Tanzania(NECTA)
  • Huduma za Afya
  • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Maktaba ya Picha
  • Kuomba kibali cha kusafiri nje ya nchi

Viunganishi Linganifu

  • PlanRep
  • Tovuti ya Ikulu
  • UTUMISHI
  • FFARs
  • Tovuti ya Wakala wa Serikali ya Mtandao
  • OR-TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga

    Sanduku la Posta: 176 Mwanga,Kilimanjaro

    Simu ya Mezani: +255 272974343

    Namba ya Simu: +255 272974343

    Barua Pepe: ded@mwangadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

hatimiliki ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga . Haki zote zimehifadhiwa