MIRADI ILIYOKAMILIKA
S/N
|
MAHALI MRADI ULIPO
|
AINA YA MRADI
|
1.
|
Shule ya Msingi Reli Juu
|
Ujenzi wa madarasa matatu na samani
|
2.
|
Shule ya Msingi Mwanga
|
Ujenzi wa maraasa mawili na choo matundu 8
|
3.
|
Shule ya Msingi Mramba
|
Ujenzi wa madarasa mawili na choo matundu 7
|
4.
|
Shule ya Msingi Kagongo
|
Ujenzi wa madarasa mawili na matundu 7 ya choo
|
5.
|
Shule ya Msingi Handeni
|
Ujenzi wa madarasa mawili na choo matundu saba
|
6.
|
Shule ya Msingi Changalavo
|
Ujenzi wa nyumba ya Mwalimu
|
7.
|
Kituo cha Afya Kisangara
|
Jengo la Wazazi, Jengo la Mochwari, Jengo la Maabara, Jengo la upasuaji na kichomea taka
|
8.
|
Kijiji cha Kituri
|
Zahanati ya Kituri
|
9.
|
Shule ya Sekondari Kifaru
|
Mabeni mawili
|
10.
|
Shule ya Sekondari Kamwala
|
Mabweni Mawili
|
11.
|
Shule ya Sekondari Kwangu
|
Bweni moja
|
12.
|
Shule ya Sekondari Ubang’i
|
Nyumba moja ya walimu (Six in One)
|
13.
|
Shule ya Sekondari Dr. Asharose Migiro
|
Mradi wa Maabara ya Fizikia, Biolojia na Kemia.
|
14.
|
Shule ya Sekondari Dr. Asharose Migiro
|
Mradi wa chumba cha Kompiuta (Computer Lab)
|
15.
|
Shule ya Sekondari Dr. Asharose Migiro
|
Mradi wa Jengo la Utawala
|
16.
|
Shule ya Sekondari Jipe
|
Nyumba ya walimu (Two in One)
|
17.
|
Shule ya Msingi Ndea
|
Nyumba ya Mwalimu
|
18.
|
Shule ya Msingi Kingondi
|
Nyumba ya Mwalimu
|
19.
|
Shule ya Msingi Kauzeni
|
Madarasa matatu
|
20.
|
Mnada wa mifugo Mgagao
|
Ujenzi wa Choo
|
21.
|
Shule ya Sekondari Vudoi
|
Ujenzi wa Madarasa matatu
|
Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
Sanduku la Posta: 176 Mwanga,Kilimanjaro
Simu ya Mezani: +255 272974343
Namba ya Simu: +255 272974343
Barua Pepe: ded@mwangadc.go.tz
hatimiliki ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga . Haki zote zimehifadhiwa