FURSA YA UWEKEZAJI KWENYE MADINI
Wilaya ya Mwanga ina madini mengi ambayo hadi sasa hayajachimbwa ama yanachimbwa kwa kiwango kidogo. Madini ambayo kwa sasa yanachimbwa kwa wingi na yanaipatia Halmashauri mapato kwa kiasi kikubwa ni madini ya ujenzi yanayotokana na uchimbaji wa mchanga.
FURSA ZA MADINI WILAYANI MWANGA
NA
|
Aina ya Madini
|
Mahali yanapochimbwa
|
1
|
Shaba
|
Vuchama-Ndambwe (Kata ya Shighatini)
|
2
|
Gypsum
|
Njia Panda (Kata ya Kirya)
|
3
|
Chokaa
|
Kisangara (Mamlaka ya Mji Mdogo)
|
4
|
Udongo mweupe
|
Lambo (Kata ya Shighatini)
|
5
|
Kokoto
|
Kwanyange (Kata ya Kivisini)
|
Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
Sanduku la Posta: 176 Mwanga,Kilimanjaro
Simu ya Mezani: +255 272974343
Namba ya Simu: +255 272974343
Barua Pepe: ded@mwangadc.go.tz
hatimiliki ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga . Haki zote zimehifadhiwa