Maadili ya Msingi
Maadili ya Msingi ya Wilaya ya Mwanga, ambayo yanajikita kwenye kulinda na kutetea dhima na dira ni kuthamini ukweli na uwazi, kujituma, utoaji wa huduma mzuri na kwa wakati, ushirikiano, kutoa ulinzi na usalama, ubunifu, utaalam mzuri, ulinzi shirikishi, ufanisi, uhakika, na uongozi bora.
Greenbird college round about to Bomani road
Sanduku la Posta: 176 Mwanga,Kilimanjaro
Simu ya Mezani: +255 272974343
Namba ya Simu: +255 272974343
Barua Pepe: ded@mwangadc.go.tz
hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga . Haki zote zimehifadhiwa