HALMASHAURI YA WILAYA YA MWANGA
MIRADI INAYOENDELEA
JILA LA MRADI KAMA LINAVYOSOMEKA KATIKA MKATABA/NYARAKA
|
SEKTA
|
JINA LA MKANDARASI
|
JINA LA MSHAURI ELEKEZI KAMA YUPO
|
TAREHE YA KUANZA UTEKELEZAJI
|
THAMANI YA MRADI
|
HALI YA MRADI (UNAENDELEA AU UMESIMAMA)
|
MSIMAMIZI WA MRADI (WIZARA/HALMASHAURI/NYINGINE (TAJA)
|
Mradi wa maji MSANGENI-MAMBA. Uchimbaji wa mtaro umekamilika na ulazaji wa mabomba umekamilika, pia ujenzi wa BPT umekamilika na ujenzi wa DPs umekamilika. Kuhudumia wakazi wapatao 1500 katika kijiji cha Mamba na wakazi 9250 kijiji cha Msangeni.
|
Maji
|
Halmashauri kupitia idara ya maji
|
Mhandisi wa Maji
|
Julai,2017
|
140,000,000
|
Mradi unaendelea
|
Halmashauri
|
Mradi wa uchimbaji visima sita (6) katika vijiji vya Mangio, Mriti, Kisanjuni, Mwaniko Mruma na Vuchama ndambwe kwa kisima kimoja kila kijiji.
|
Maji
|
DDCA
|
Mhandisi wa Ujenzi
|
Julai,2017
|
173, 200,000
|
Mradi unaendelea
|
Halmashauri
|
Ujenzi wa (kivuko) cha cha mazao kwa kitia
|
Kilimo
|
Local Fundi
|
Mhandisi wa Ujenzi
|
Julai,2018
|
28, 000, 000
|
Mradi unaendelea
|
Halmashauri
|
Ujenzi wa choo shule ya msingi Ruru.
|
Elimu Msingi
|
Local fundi
|
Mhandisi wa Ujenzi
|
Julai,2017
|
5,500,000
|
Mradi unaendelea
|
Halmashauri
|
Ujenzi wa Nyumba ya Mwalimu shule ya msingi kigonigoni
|
Elimu Msingi
|
Local Fundi
|
Mhandisi wa Ujenzi
|
Julai,2016
|
25,000,000
|
Mradi unaendelea
|
Halmashauri
|
Ujenzi wa Zahanati ya Lembeni
|
Afya
|
Local Fundi
|
Mhandisi wa Ujenzi
|
Julai,2016
|
98,000,000
|
Mradi unaendelea
|
Halmashauri
|
Ujenzi wa Zahanati ya kitoghoto
|
Afya
|
Local Fundi
|
Mhandisi wa Ujenzi
|
Julai,2016
|
98,000,000
|
Mradi unaendelea
|
Halmashauri
|
Ujenzi wa Zahanati ya vuchama Ndambwe.
|
Afya
|
Local Fundi
|
Mhandisi wa Ujenzi
|
Julai,2015
|
102,146, 100
|
Mradi upo hatua ya umaliziaji
|
Halmashauri
|
Ujenzi wa Zahanati ya Vanyua.
|
Afya
|
Local Fundi
|
Mhandisi wa Ujenzi
|
Julai,2014
|
81,822, 000
|
Mradi unaendelea
|
Halmashauri
|
Ujenzi wa Uzio Mnada wa Mgagao.
|
Afya
|
Local Fundi
|
Mhandisi wa Ujenzi
|
Julai,2017
|
15, 000, 000
|
Uzio umejengwa wa wavu
|
Halmashauri
|
Ujenzi wa jengo la Zahanati ya Kwakihindi
|
Afya
|
Local Fundi
|
Mhandisi wa Ujenzi
|
Julai,2017
|
70, 000, 000
|
Mradi unaendelea kwa nguvu za wananchi na fedha zinapopatikana
|
Halmashauri
|
Ujenzi wa ofisi ya kijiji cha Kigonigoni
|
Utawala
|
Local Fundi
|
Mhandisi wa Ujenzi
|
Julai,2017
|
30, 000, 000
|
Mradi unaendelea kwa nguvu za wananchi
|
Halmashauri
|
Ujenzi wa Bwalo shule ya sekondari Lomwe
|
Elimu sekondari
|
Local Fundi
|
Mhandisi wa Ujenzi
|
Julai,2017
|
213,000,000
|
Mradi unaendelea
|
Halmashauri
|
Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya waalimu Mwanga Sekondari.
|
Elimu sekondari
|
Local Fundi
|
Mhandisi wa ujenzi
|
Julai,2018
|
147,183, 928
|
Mradi unaendelea
|
Shule ya sekondari Lomwe
|
Ujenzi wa ofisi ya waalimu shule ya msingi msaleni.
|
Elimu Msingi
|
Local Fundi
|
Mhandisi wa Ujenzi
|
Julai,2017
|
12, 315, 000
|
Mradi upo 55%
|
Halmashauri
|
Ujenzi wa choo cha wanafunzi shule ya msingi Ibaya.
|
Elimu msingi
|
Local Fundi
|
Mhandisi wa Ujenzi
|
Julai,2017
|
7,800,000.00
|
|
Halmashauri
|
Ujenzi wa barabara bureni km 6. Kusaidia mawasiliano ndani na nje ya kijiji.
|
Barabara
|
Wananchi
|
Mhandisi Barabara
|
Julai,2017
|
28,000,000
|
Ujenzi unaendelea
|
Serikalii ya kijiji
|
Ujenzi wa ofisi ya kijiji M’bambua
|
Utawala
|
Local fundi
|
Mhandisi wa Ujenzi
|
Julai,2014
|
27,500,000
|
Ujenzi unaendelea
|
Halmashauri
|
Ujenzi wa choo matundu 12 shule ya msingi Kaili.
|
Elimu msingi
|
Local fundi
|
Mhandisi wa Ujenzi
|
Julai,2017
|
5,800,000
|
Ujenzi unaendelea
|
Halmashauri
|
Ujenzi wa choo matundu 16 shule ya msingi chanjale
|
Elimu msingi
|
Local fundi
|
Mhandisi wa Ujenzi
|
Julai,2016
|
10,055,308
|
Mradi unaendelea
|
Halmashauri
|
Ujenzi wa jengo la Maabara, jengo la upasuaji, Wodi ya kina mama wajawazito na X-Ray kituo cha Afya Kigonigoni.
|
Afya
|
Local fundi
|
Mhandisi wa Ujenzi
|
Julai,2017
|
400,000,000
|
Mradi unaendelea
|
Halmashauri
|
Kukamilisha nyumba ya Walimu Shule ya Sekondari Jipe.
|
Elimu sekondari
|
Local fundi
|
Mhandisi wa Ujenzi
|
Julai,2015
|
44,775,500
|
Mradi unaendelea
|
Halmashauri
|
Ujenzi wa barabara ya Mriti Kambi ya Simba
|
Barabara
|
Local fundi
|
Mhandisi wa Barabara
|
Julai,2016
|
4, 000, 000
|
Mradi unaendelea
|
Wananchi na Serikali
|
Ujenzi wa nyumba ya Waalimu 6 kwa 1 shule ya sekondari Ubang’i
|
Elimu sekondari
|
Local fundi
|
Mhandisi wa Ujenzi
|
Julai,2017
|
141,000,000
|
Mradi unaendelea
|
Halmashauri
|
Ujenzi wa Maabara Shule ya Sekondari Kishengweni
|
Elimu sekondari
|
Local fundi
|
Mhandisi wa Ujenzi
|
Julai,2015
|
86, 237,056
|
Mradi unaendelea
|
Halmashauri
|
Ujenzi wa darasa 1 Shule ya Msingi Shighati
|
Elimu msingi
|
Local fundi
|
Mhandisi wa Ujenzi
|
July 2018
|
17,843,824.86
|
Mradi unaendelea
|
Halmashauri
|
Greenbird college round about to Bomani road
Sanduku la Posta: 176 Mwanga,Kilimanjaro
Simu ya Mezani: +255 272974343
Namba ya Simu: +255 272974343
Barua Pepe: ded@mwangadc.go.tz
hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga . Haki zote zimehifadhiwa