UVUVI.
Wilaya inatekeleza shughuli za Uvuvi ikiwemo kusimamia Uvuvi endelevu katika Bwawa la Nyumba ya Mungu na Ziwa Jipe , na kuelimisha wananchi juu ya ufugaji bora wa samaki.
Wilaya ya Mwanga ina jumla ya bwawa (fish ponds) 135 ambayo yanamilikiwa na watu binafsi, aina ya Samaki wanaofugwa ni Kambale na Perege, pia sehemu ambazo ufugaji unafanyika ni Kata za Mwanga, Kileo, Kirya, Kigonigoni, Kighare na Shighatini. Pia tunasimamia vyema kukabiriana na uvuvi haramu kwa kuzingatia sheria ya uvuvi Na. 22 ya 2003 na kanuni zake za 2009.
S/N
|
MWEZI
|
ZANA HARAMU
|
HATUA ZILIZOCHUKULIWA
|
1
|
Juni.
|
Chandarua 1
|
Kiliteketezwa na moto
|
Nyavu za kutega vipande 17
|
Viliteketezwa na moto
|
||
Mitumbwi 8
|
Kukabidhi katika kijiji cha Nyabinda
|
||
Ndoo za dagaa 2
|
Ziliteketezwa kwa moto.
|
||
2
|
Julai
|
|
Kuunda Beach Management Units (BMUs)
|
3
|
Agosti
|
Chandarua 1
|
Kiliteketezwa na moto
|
4
|
Septemba
|
Kokoro 1
|
Ziliteketezwa kwa moto.
|
Chandarua 1
|
|||
5
|
Octoba
|
Vimia 2
|
Ziliteketezwa kwa moto.
|
Kokoro 2
|
|||
Njenga 1
|
2.2 MIKAKATI YA KUDHIBITI UVUVI HARAMU.
Idara kupitia kitengo cha Uvuvi imepanga mikakati ifuatayo,
Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
Sanduku la Posta: 176 Mwanga,Kilimanjaro
Simu ya Mezani: +255 272974343
Namba ya Simu: +255 272974343
Barua Pepe: ded@mwangadc.go.tz
hatimiliki ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga . Haki zote zimehifadhiwa