Saturday 21st, December 2024
@Kata ya Lembeni
Wananchi wa Mwanga wote mnakaribishwa kwenye sherehe za kuadhimisha siku ya mtoto wa Afrika.
Sherehe itafanyikia kata ya Lembeni tarehe 19 Juni, 2018 kuanzia saa 2:00 asubuhi.
Karibuni sana
Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
Sanduku la Posta: 176 Mwanga,Kilimanjaro
Simu ya Mezani: +255 272974343
Namba ya Simu: +255 272974343
Barua Pepe: ded@mwangadc.go.tz
hatimiliki ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga . Haki zote zimehifadhiwa