Saturday 21st, December 2024
@Uwanja wa C. D Msuya
Kutakuwepo na tamasha la michezo la mpira wa miguu tarehe 23.06.2018 katika uwanja wa C. D. Msuya kuanzia saa 4:00 Asubuhi.
Jumla ya timu sita zitashiriki katika tamasha hilo ambalo litajumuisha timu kutoka Mwanga Mjini, Lang'ata, Kirya na Kileo.
Wananchi wote mnakaribishwa
Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
Sanduku la Posta: 176 Mwanga,Kilimanjaro
Simu ya Mezani: +255 272974343
Namba ya Simu: +255 272974343
Barua Pepe: ded@mwangadc.go.tz
hatimiliki ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga . Haki zote zimehifadhiwa