Sunday 15th, June 2025
@Mwanga
Wananchi wa Mwanga Mnakaribishwa kwenye mbio za Mwenge wa Uhuru tarehe 1 Julai, 2025. Mwenge utapokelewa katika Kijiji cha Mgagao na utakimbizwa kwenye miradi mbalimbali.
Aidha, Mkesha wa Mwenge utafanyika katika viwanja vya sokoni Mjini Mwanga kuanzia saa 12:00 jioni hadi tarehe 2 Julai, 2025 saa 12:00 asubuhi.
WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA KWENYE MAPOKEZI NA ENEO LA MKESHA ILI TUKESHE PAMOJA.
MWENGE NI WA WANANCHI.
KARIBUNI SANA
Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
Sanduku la Posta: 176 Mwanga,Kilimanjaro
Simu ya Mezani: +255 272974343
Namba ya Simu: +255 272974343
Barua Pepe: ded@mwangadc.go.tz
hatimiliki ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga . Haki zote zimehifadhiwa