Saturday 21st, December 2024
@
Mkuu wa Wilaya ya Mwanga ndug. Thomas Apson ambaye amekuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa zoezi la kupatiwa watoto wote chini ya miaka mitano vyeti vya kuzaliwa, zoezi hili linafadhiliwa na tigo,nchi ya Canada na shirika la Watoto duniani UNICEF.kampeni hiyo litafanyika kwa kwa siku 12 kuanzia tarehe 6. Vyeti vinatolewa hapohapo bure kwa wahusika
Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
Sanduku la Posta: 176 Mwanga,Kilimanjaro
Simu ya Mezani: +255 272974343
Namba ya Simu: +255 272974343
Barua Pepe: ded@mwangadc.go.tz
hatimiliki ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga . Haki zote zimehifadhiwa