Thursday 21st, November 2024
@Mwanga
Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Ummy Ally Mwalimu anategemea kutembelea Wilayani Mwanga kesho tarehe 17 Novemba, 2021.
Katika ziara yake hiyo, Mhe. Mwalimu atatembelea miradi ya maendeleo hapa Wilayani, atafanya kikao na Baraza la Madiwani pamoja na Wajumbe wa CMT.
Karibu sana Wilayani Mwanga Mheshimiwa Waziri wa TAMISEMI.
Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
Sanduku la Posta: 176 Mwanga,Kilimanjaro
Simu ya Mezani: +255 272974343
Namba ya Simu: +255 272974343
Barua Pepe: ded@mwangadc.go.tz
hatimiliki ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga . Haki zote zimehifadhiwa