• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mwanga District Council
Mwanga District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na rasilimali watu
      • Afya
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii na Uhusiano
      • Ujenzi na zima moto
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ardhi na Mali asili
      • Mazingira
      • Mamlaka ya Mji mdogo
    • Vitengo
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji wa Nyuki
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Kilimo
    • Fursa za Uvuvi
    • Fursa ya Madini
    • Fursa ya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za kisheria
    • Huduma za kuwawezesha wajasiria mali
  • Madiwani
    • Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mipango mikakati
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Bajeti ya Halmashauri
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba kwa Vyombo vya Habari
    • Habari

Nawezaje kupata kibali cha kukata mti

TARATIBU ZA KUFUATA ILI UWEZE KUPATA KIBALI CHA KUKATA MTI/MITI

Endapo Mwananchi atahitaji kukata mti/miti atapaswa kufuata taratibu zifuatazo ili aweze kupatiwa kibali na mamlaka husika.

  1. Muhusika ataandika barua kwenda kwa Mkuu wa Wilaya 
  2. Barua ipitie kwa Mhifadhi Misitu Wilaya (TFS), Afisa Mali Asili Wilaya na Mtendaji wa Kijiji ambacho mti/miti itakatwa/itavunwa.
  3. Muhusika anapaswa kueleza lengo la kuvuna miti; mfano kukomaa, kuangusha matawi juu ya nyumba, kuharibu bati, mizizi kuathiri jengo, kuzuia mwanga mimea mingine, kupata mbao kwa ajili ya ujenzi/biashara nk.
  4. Muhusika anapaswa kueleza aina ya miti ambayo anataka kuvuna.
  5. Baada ya kufuata hatua hizo zote, Mkuu wa Wilaya atatoa maelekezo kuwa muhusika apatiwe kibali.

 

NB; Endapo muhusika atashindwa kupata maelezo au ufahamu wa kina, anapaswa kufika kwenye Ofisi ya Mali Asili Wilaya ili apate ufafanuzi zaidi.

Matangazo

  • WALIOCHANGULIWA KIDATO CHA KWANZA - 2023, HALMASHAURI YA MWANGA December 14, 2022
  • WALIOCHANGULIWA KIDATO CHA KWANZA - 2023, HALMASHAURI YA MWANGA December 14, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA KATIBU MAHSUSI (LIMERUDIWA) September 02, 2022
  • MATOKEO YA USAILI WA MTIHANI WA KUANDIKA (WRITTEN INTERVIEWS) NAFASI YA UTENDAJI September 01, 2022
  • Tazama Yote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA MAKISIO YA BAJETI KIASI CHA TSH. BILIONI 36.78

    January 19, 2023
  • WILAYA YA MWANGA YAKAMILISHA MADARASA MAPYA KWA AJILI YA KIDATO CHA KWANZA 2023

    December 14, 2022
  • WILAYA YA MWANGA YAADHIMISHA SIKU YA KUPINGA VITENDO VYA UKATILI KWA WANAWAKE NA WATOTO

    November 28, 2022
  • MADIWANI WA MWANGA NA TIMU YA WATAALAMU WAMUENZI RAIS SAMIA KWA VITENDO

    November 19, 2022
  • Tazama Yote

Video

Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MATANGAZO
  • MIONGOZO
  • MFUMO WA USAJILI WA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI (PREM)
  • Baraza la Mitihani Tanzania(NECTA)
  • Huduma za Afya
  • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Maktaba ya Picha
  • Kuomba kibali cha kusafiri nje ya nchi

Viunganishi Linganifu

  • PlanRep
  • Tovuti ya Ikulu
  • UTUMISHI
  • FFARs
  • Tovuti ya Wakala wa Serikali ya Mtandao
  • OR-TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga

    Sanduku la Posta: 176 Mwanga,Kilimanjaro

    Simu ya Mezani: +255 272974343

    Namba ya Simu: +255 272974343

    Barua Pepe: ded@mwangadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

hatimiliki ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga . Haki zote zimehifadhiwa