• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mwanga District Council
Mwanga District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na rasilimali watu
      • Afya
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii na Uhusiano
      • Ujenzi na zima moto
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ardhi na Mali asili
      • Mazingira
      • Mamlaka ya Mji mdogo
    • Vitengo
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji wa Nyuki
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Kilimo
    • Fursa za Uvuvi
    • Fursa ya Madini
    • Fursa ya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za kisheria
    • Huduma za kuwawezesha wajasiria mali
  • Madiwani
    • Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mipango mikakati
    • Miongozo
    • Taarifa mbalimbali
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Bajeti ya Halmashauri
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba kwa Vyombo vya Habari
    • Habari

NATAKA MRADI WA MAJI WA MWANGA-SAME-KOROGWE UISHE, MHE. WAZIRI WA MAJI NA UMWAGILIAJI

Posted on: July 31st, 2018

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhe. Prof. Makame Mbarawa, ametoa maelekezo kwa mkandarasi anayesimamia mradi wa maji safi wa Mwanga-Same-Korogwe kuhakikisha kuwa, mradi huo unakamilika kwa wakati.

Ametoa maelekezo hayo leo, alipotembelea Wilaya za Mwanga na Same kujionea namna shughuli zinavyofanyika kwenye mradi huo. Amesema kwamba, mradi huo umechukua mda mrefu hivyo unatakiwa uishe kwa haraka. Ameendelea kusema kuwa, atahakikisha fedha inayochangiwa na Serikali kwenye mradi huo inatoka mapema ili kuufanya mradi uende kwa kasi zaidi.

Mradi wa Mwanga-Same-Korogwe ni moja kati ya miradi mikubwa nchini inayojengwa ili kuhakikisha kuwa wananchi wanaondokana na adha ya maji hapa nchini. Mradi huu utagharimu kiasi cha dola za marekani milioni 41.35. Baada ya mradi kukamilika utanufaisha wananchi wa Wilaya tatu ambazo ni Mwanga, Same na Korogwe.

Aidha Katika ziara yake hiyo, ametoa maelekezo kwa  wakala wa uchimbaji visima (DDCA) kuhakikisha kwamba, wiki ijayo anakuja Wilayani Mwanga kuendelea na mradi wa kuchimba visima vilivyopo Usangi, ambavyo, wakala huyo alikuwa hajavimalizia toka mwaka jana.

Katika hatua nyingine, Mhe. Waziri ameelezwa namna Wananchi wa Mji wa Mwanga wanavyopata shida ya maji kutokana na kukatiwa umeme na TANESCO. Kufuatia taarifa iliyosomwa kwake na, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga, Ndg. Golden A. Mgonzo, ameelezwa kwamba, Mamlaka ya Maji ya Mji Mdogo Mwanga imekuwa ikikatiwa maji mara kwa mara kutokana deni la shilingi, milioni 211.7 deni ambalo ni la miaka mingi. Mhe. Waziri ameombwa Wizara yake isaidie kulipa deni hilo kwani Mamlaka ya Maji Mwanga haitakuwa na uwezo wa kulipa. Mhe. Waziri ameahidi atalifuatilia jambo hilo na kujua ni kwa namna gani linaweza likatatuliwa.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGA KURA KWAAJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 July 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI July 03, 2025
  • Tangazo la nafasi 30 za kazi ya mkataba June 20, 2025
  • TANGAZO LA KAZI June 03, 2025
  • Tazama Yote

Habari Mpya

  • DC MUNKUNDA AONGOZA KONGAMANO LA MWAKA LA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI (NGOs)

    June 18, 2025
  • WATUMISHI WA MWANGA DC WAPATIWA MAFUNZO YA E-UTENDAJI.

    June 19, 2025
  • MWANGA YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA

    June 16, 2025
  • MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    June 13, 2025
  • Tazama Yote

Video

Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MATANGAZO
  • MIONGOZO
  • MFUMO WA USAJILI WA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI (PREM)
  • Baraza la Mitihani Tanzania(NECTA)
  • Huduma za Afya
  • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Maktaba ya Picha
  • Kuomba kibali cha kusafiri nje ya nchi

Viunganishi Linganifu

  • PlanRep
  • Tovuti ya Ikulu
  • UTUMISHI
  • FFARs
  • Tovuti ya Wakala wa Serikali ya Mtandao
  • OR-TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga

    Sanduku la Posta: 176 Mwanga,Kilimanjaro

    Simu ya Mezani: +255 272974343

    Namba ya Simu: +255 272974343

    Barua Pepe: ded@mwangadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

hatimiliki ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga . Haki zote zimehifadhiwa