Tarehe 20/06/2017 ni siku ya kuchangia damu katika vituo vya Afya na Hospitali katika wilaya ya Mwanga. Kwa watumishi walioko katika ofisi ya Halmashauri watachangia katika ofisi ya Mganga Mkuu Wilaya (ofisi ya DMO- Mwanga).
Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
Sanduku la Posta: 176 Mwanga,Kilimanjaro
Simu ya Mezani: +255 272974343
Namba ya Simu: +255 272974343
Barua Pepe: ded@mwangadc.go.tz
hatimiliki ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga . Haki zote zimehifadhiwa