Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga imepokea Kibali cha ajira mpya chenye Kumb. Na. FA 170/370/01/44 cha tarehe 27/7/2017 na Kibali cha ajira mbadala chenye Kumb. Na. CFC 26/205/01’’FF’’/91 cha tarehe 22/8/2017 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Hivyo inatangaza Tangazo la usaili kwa watu wote waliiomba Nafasi za kazi za Watendaji wa Vijiji Daraja la III (Nafasi 30) na Watunza tunza Kumbukumbu wasaidizi Daraja la III (Nafasi 2)
MASHARTI YA USAILI
Usaili utafanyika tarehe 3/10/2017 Mahali:Ukumbi wa Halmashauri
MUDA:SAA MOJA KAMILI SUBUHI (7:00),tafadhari hakikisha unaangalia jina lako kwa makini,Kuangalia majina ya usaili ya walioitwa kwenye usaili tafadhali bofya-->USAILI.xlsx
Imetolewa na MKURUGENZI MTENDAJI (W),
HALMASHAURI YA WILAYA YA MWANGA,
S.L.P. 176,
MWANGA.
Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
Sanduku la Posta: 176 Mwanga,Kilimanjaro
Simu ya Mezani: +255 272974343
Namba ya Simu: +255 272974343
Barua Pepe: ded@mwangadc.go.tz
hatimiliki ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga . Haki zote zimehifadhiwa