Watumishi wa Kituo cha Afya Kisangara wapewa msaada wa Shilingi milioni 400 . hadi milioni 720. ambazo zitatumika katika uboreshaji wa majengo ya kutolea huduma za upasuaji na pia fedha hizo zitatumika kwa ajili ya manunuzi ya vifaa bora na vya kisasa vya kutolea huduma stahiki kwa wananchi wa Wilaya ya Mwanga. Kituo hicho kimepewa hadhi hiyo kutokana n akuonekana kuhudumia wananchi wengi wa tambarare,pia kuwa eneo la kutosha.
Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
Sanduku la Posta: 176 Mwanga,Kilimanjaro
Simu ya Mezani: +255 272974343
Namba ya Simu: +255 272974343
Barua Pepe: ded@mwangadc.go.tz
hatimiliki ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga . Haki zote zimehifadhiwa