WATUMISHI WA MWANGA DC WAPATIWA MAFUNZO YA E-UTENDAJI.
Wawezeshaji wa kutoka ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora wametoa mafunzo ya namna ya kufanya tathmini katika mfumo wa E- utendaji (PepMis) leo katika ukumbi wa shule ya sekondari mwanga.
Mafunzo hayo wamepatiwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga pamoja na taasisi za serikali zilizopo wilayani Mwanga.
Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
Sanduku la Posta: 176 Mwanga,Kilimanjaro
Simu ya Mezani: +255 272974343
Namba ya Simu: +255 272974343
Barua Pepe: ded@mwangadc.go.tz
hatimiliki ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga . Haki zote zimehifadhiwa