Saturday 21st, December 2024
@Uwanja wa C.D Msuya
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan atakuwa na ziara ya kikazi Wilayni Mwanga tarehe 12.11.2018.
Katika ziara yake hiyo, Mhe. Makamu wa Rais atatembelea mradi mkubwa wa maji wa Same - Mwanga - Korogwe na baada ya hapo atakuwa na mkutano wa hadhara na wananchi wa Mwanga.
Mkutano huo utafanyikia katika uwanja wa mpira wa C. D Msuya kuanzia saa 8:00 mchana.
Wananchi wote mnakaribishwa kwenye mkutano huo.
Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
Sanduku la Posta: 176 Mwanga,Kilimanjaro
Simu ya Mezani: +255 272974343
Namba ya Simu: +255 272974343
Barua Pepe: ded@mwangadc.go.tz
hatimiliki ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga . Haki zote zimehifadhiwa