Posted on: May 8th, 2018
Ikiwa imebaki miezi miwili kufunga mwaka wa Serikali wa 2017/2018, Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga imefanya vizuri sana kwa kuweza kukusanya mapato kwa asilimia 99.09. Hii ni ishara kuwa, Halmashauri ...
Posted on: May 7th, 2018
Halmashauri ya wilaya ya Mwanga ni miongoni mwa Halmashauri ambazo leo shule zake zenye kidato cha sita wameanza mitihani yao ya kuhitimu kidato cha sita.
Akizingumzia kuhusu maandalizi ya mtihani ...
Posted on: May 2nd, 2018
Katika hali isiyo ya kawaida, mvua zinazo endelea kunyesha zimeendelea kuleta madhara makubwa Wilayani Mwanga kiasi cha kupelekea wananchi kupata adha mbalimbali. Pamoja ya kwamba mvua hizi zimenyesha...