Posted on: January 18th, 2021
Waziri wa maji, kesho tarehe 19/01/2021 atafanya ziara wilayani hapa ambapo atatembelea mradi wa same mwanga korogwe, wananchi wote mnakaribishwa katika eneo la mamlaka ya maji Mwanga kumsikiliza....
Posted on: August 6th, 2020
Mkuu wa Wilaya (katikati) Mhe. Thomas Apson akizindua kampeni ya utoaji wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto walio na umri chini ya miaka mitano,. Vyeti vitatolewa bure na kampeni hiyo itaanza leo tarehe ...
Posted on: July 28th, 2020
Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga kwa kushirikiana na shirika la Msalaba Mwekundu (Red Cross), wameendelea kutoa elimu kwa wananchi juu ya ugonjwa wa Covid 19 unaosababishwa na virusi vya Corona.
Zoe...