Posted on: March 17th, 2022
Kamati ya ALAT ya Mkoa wa Kilimanjaro leo imezuru Wilaya ya Mwanga ikiongozwa na Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Kilimanjaro ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga Ndg. Salehe R. Mkwiz...
Posted on: March 14th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Mwanga Mhe. Abdallah Mwaipaya, leo amezindua zoezi la kuvalisha hereni mifugo ya wafugaji Wilayani Mwanga. Uzinduzi wa zoezi hilo umefanyika katika Kijiji cha Kwakihindi Kata y...
Posted on: March 11th, 2022
Leo Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. David E. Silinde ametembelea na kujionea miradi mitatu inayoendelea kutekelezwa hapa Wilayani Mwanga. Ziara hiyo ameifanya ikiwa ni sehemu ya mikak...