Posted on: June 27th, 2023
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeipatia Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga kiasi cha Tsh. 584,280,028/= kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya ya Sekondari Toloha.
Akitambulisha mradi huo kw...
Posted on: June 26th, 2023
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2023 Bw. Abdalla Shaibu Kaim amewahimiza Watanzania kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali za kuhifadhi mazingira.
Bw. Kaim alitoa kauli hiyo wa...
Posted on: June 15th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Mwanga Mhe. Abdallah Mwaipaya, amezitaka taasisi na mashirika mbalimbali yasiyo ya Serikali na yanayo fanya kazi Wilayani Mwanga kuhakikisha kwamba, wanafuata maadili ya Mtanzania pa...