Posted on: August 10th, 2023
Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira imewaeleza wananchi wa Kijiji cha Ruru, Kata ya Jipe Wilayani Mwanga kuwa, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bado inaendelea k...
Posted on: July 25th, 2023
Leo Wilaya ya Mwanga imeadhimisha siku ya Mashujaa kwa ajili ya kuwakumbuka mashujaa mbalimbali ambao walihusika katika kuipigania nchi na Taifa la Tanzania. Maadhimisho hayo yaliongozwa na Mkuu wa Wi...
Posted on: June 27th, 2023
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeipatia Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga kiasi cha Tsh. 584,280,028/= kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya ya Sekondari Toloha.
Akitambulisha mradi huo kw...